ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 6, 2015

MSAFIRI KAFIRI


Punda afe mzigo ufike, unaikumbuka methali hii? Bahati yao ni kwamba gari ni zuri tu na barabara pia ni nzuri, sasa tatizo sijui ni nini? Anataka kuharibu gari lake maana kalichoka ili anunue jingine!!! sijui, au anabana mafuta kwa kuogopa kurudiarudia safari, mzigo ukifika faida njenje kwa mwenye mzigo ila ni hasara ya service ya gari kwa mwenye chombo. Tutafakari kwa pamoja je haya ni matumizi sahihi ya nyenzo zetu tulizonazo zinazotusaidia kazi mbalimbali!!?
Hii hapa inaitwa mshikaki tutafika tu nyumba ya guest ta yenye jina la Wema sijuhi analipwa kutumia jina hili au ndiyo ule useme jina shamba.
Na hii nayo hadi ng'ombe ndani safari ni safari akinya hapo na kukojoa bora tufiki tu.

No comments: