
Si Kila Unayemkuta Kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na Edo Madirector Kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya kimbulu yaani Paka liloshindikana ila wnakwaa visiki baada ya kukutana na wanakijiji wanajua zaidi yao
Pata Filamu hii ya Kimbulu Kupitia Mtandao Taarifa nzuri zaidi ni kwamba Filamu zote za Kiswahili unaweza Kuzipata kupitia mtandao au ukaziangalia kupitia mtandao au kununua pia popote pale duniani
Tembelea Tovuti hii kwa kuangalia au kununua filamu hii ya KIMBULU na nyingine nyingi tu.
1 comment:
Mungu wangu weee yani mmenikumbusha mbali sana kwa neno hili la KIMBURU,nakumbuka nilivyokuwa zamani motto nilikuwa namsikia marehemu bibi yangu akilitumia sana neno hili na pia neno la SHOMVI Yote haya maneno kwa wale wenzetu wa visiwani huwa wanatumia (kavirondo) basi nimecheka sana because matukio mengi ya utoto wangu na utundu wangu nikimkasirisha huwa bibi yangu alikuwa anatumia maneno haya kunikanya.
mungu amlaze mahali pema peponi nitaitafuta hii movie kwa udi na uvumba ninunuwe nimelipenda sana jina la movie hii.
ahsanteni waugwana.
Post a Comment