Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania. kushoto akimkabidhi glove kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini zilizotolewa nabondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri katikati kwa kushirikiana na kocha Rajabu Mhamila 'Super D'
Bondia Om ari Kimweri akimvisha mkanda wa ubingwa wa taifa Alphonce Mchumiatumbo baada ya kumtwanga Iddi Bonge kwa point
Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri kushoto akiwa katika picha ya pamoja na kocha Habibu Kinyogoli kulia ni Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania
Bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchini Deer Park, Victoria, Australia, Omari Kimweri kushoto akiwa katika picha ya pamoja na kocha Habibu Kinyogoli kulia ni Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania
Omari Kimweri akiwa na alphonce mchumiatumbo baada ya kumvalisha mkanda wa ubingwa wa taifa
Na Mwandishi Wetu
na kukabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa kocha Habibu Kinyogoli kwa ajili ya kuendeleza mchezo wa masumbwi nchini baada ya kupokea msaada huo Kinyogoli alisema kuwa haya ni matunda yake japokuwa ni watu wachaxhe sana wanaokwenda nje ya nchi kuwakumbuka wenzao yeyey amewakumbuka wenzake kwa kuwa vifaa hivyo vitatumika na mabondia chipkizi
makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa mpambano wa Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Bonge mpambano ambaso ulisha kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya bondia Bonge kupigwa ngumi kali na kwenda chini mara tatu kwa kila ngumi aliyokuwa akipigwa
baada ya ushindi huo Kimweri alimvalisha mkanda wa ubingwa wa taifa unaotambulika na chama cjha ngumi za kulipwa nchini P.S.T
kwa Mchumiatumbo baada ya kumgalagaza Bonge bila ya huruma katika mapambano mengine ya utangulizi bondia machachali Vicent Mbilinyi alimgalagaza bondia Khalidi Manjee bila ya huruma wakati Mussa Sunga alimchapa Makali Mawe kwa point
No comments:
Post a Comment