ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 10, 2015

Picha za Baby Shower ya Rahima na Jason

 Muonekano wa Baby shower ya Rahima  na Jason iliyofanyika siku ya tarehe 7 Feb, 2015, katika mji wa Clarksburg jimbo la Maryland nchini Marekani, iliyoaandaliwa na ndugu na marafiki zake.
 Rahima na Jason
Dada wa Rahima, Bi Maryam kutoka North Carolina akisema neno la kuwashukuru wageni waalikwa.
 Pichani ni baadhi ya washiriki wa michezo iliyochezwa katika baby shower hiyo.

No comments: