Kwa niaba ya Mzee Samwel Musika wa Ikizu- Mission, Musoma, Watoto na Wajukuu wanapenda kutoa shukurani za DHATI kwa watu wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha safari ya mpendwa wao mwalimu juliana musika katika nyumba yake ya milele huko Ikizu-Mission Musoma.
Mungu atawalipa kwa UKARIMU wenu mliotuonesha katika kipindi chote cha huzuni na simanzi. ZABURI 106:1
Asanteni sana mungu awabariki.
Kwa niaba ya familia Mzee Musika.
Specioser musika, 571 332 2215.
Yvonne Matinyi, 301 792 3482.
No comments:
Post a Comment