Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili
“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.

1 comment:
kavulana kanatunzwa na kununuliwa kila kitu unadhani katakubali kumucha...mmh wee endele tu kuwa naye bega kwa bega ili mradi anakutunza na kukupa pocket money ya kutamba hapa mujini.
vivulana vya design hii viko vingi na vikiachwa mungu wangu yesu na maria vinachanganyikiwagaa si utani.
Post a Comment