WAZIRI pia Mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo katika Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni ni Kaimu Niabu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia mgonja.
Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akibadilishana mawazo na wasaidizi wake wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo.
(juu na chini)MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo.
MWAKILISHI Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni Waziri pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo Kwenye Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga.
1 comment:
Kuboresha kwa maneno tu hakuna vitendo vyote. Bado ukifika kwenye Ofisi zao mambo yale yale huduma mbovu ama utoe kitu
Post a Comment