ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 14, 2015

TANZIA

Ndugu zangu wana DMV na kwingineko,
Kwa majonzi makubwa, tunawajulisha msiba Wa mama yetu mlezi marehemu Mama Khupe alifariki kuzi na kuzikwa leo mchana Kwa saa za Tanzania.

Aliyekua akiishi mtaa Wa Majimaji, Keko-Chang'ombe Dar-es-Salaam.
Mr na Mrs Khupe walikua watu wakatimu sana na wapenda watu. Kwa idadi ya watoto waliojaaliwa kupata na wale waliowalea, kwa mapenzi makubwa na ukarimu kwa marafiki zao pia, bila shaka ni sababu ya kujulikana kwa wakazi wengi Wa Maeneo ya Chang'ombe, Keko na Buguruni, na kwingineko.

Marehemu Mzee Khupe aliaga Dunia mwezi November 2014, ghafla.

Mwenyezi Mungu awaweke pema peponi.

Amen.
Kwa atakaehitaji kuwaailiana na famillia ya Mzee Khupe

Ndugu yenu;
Mariam Mohamed,
Adelphi, MD.

No comments: