Meza maalumu kwa wapendanao kwenye siku ya Valentine iliyoandalia na Missy Temeke na mumewe iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 14, 2015 Sheraton Downtown Silver Spring na kuwaalika rafiki zao na iliyoenda sambamba na siku ya kuzaliwa ya Bi. Loveness Mamuya.
Wageni waalikwa na mwenyeji wao Missy Temeke wakiwa katika picha ya pamoja.
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
KUKATA KEKI BIRTHDAY YA LOVENESS MAMUYA
Bwana na Bi Matope wakiongea jambo
Bi. Loveness Mamuya akiongea jambo na kuwashukuru Missy T na Mumewe
Wageni waalikwa
Loveness akikata keki.
Chumchum ya shukurani kwa Aziz kununua keki ya Birthday ya Bi. Loveness.
Aziz akimulisha keki Bi. Loveness
11 comments:
Omby Nyongole "BossLady" yuko wapiiiiii????? Mbona hatumuoni kwenye hizi shughuli za watu?????? Ameolewa Lakini??????
Kuishi kwingi, kuona mengi lol
Mbona Rais na uongozi wa Watanzania DMVs haupo hapo. Watanzania tuache ubaguzi na makundi yasiyo ya msingi.
Poleni sana dada zangu kwa yaliyowasibu usiku wa kuamkia tarehe 15.
Viongozi wa DMV wako kwa ajili ya majukumu muhimu yanayohusu jamii. Asante saana
AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE. TAFAKARI HUU USEMI..
haya haya tena kumekucha kumeewika kila mtu na wake asiye na wake abebe jiwe. sasa jamani zile picha ya kuchum chum kukiss kisiyana mbona mmezitoa jamani hebu tuonesheni jamani tuona wataalam mnavyojua mambo ya ku kiss chum chum.
na miss temeke nataka kuliza ametoka gerezani kariakoo dar?nyumba ya gorofa ya iddi hamisi au mzee mende.
nauliza kwa sababu kuna ndugu yako anakutafuta. shukran.
kijuxt Canada umeyaona mambo ya Maryland mwangu ya valentine day huku watu wana wikaaa hawana mchezoo.
sasa mbona hamjatuachi sehemu tutoe comment zetu sehemu walio kuwa wana valentine wana kula denda.mmetunyima uhondo wa kutoa maoni yetu na tungewapa vikombe vya ushindi wa kwanza na wa pili na watatu wanao jua kula denda vizuri.
dj mbona umetunyima uhondo umetukatisha stimu zetu why dj.
mie nilidhani valentine ni sikukuu private kidogo, i can't imagine mie nifotelewe kila mtu aone how my valentine was. i guess ni uamuzi wa mtu
sasa habari ya Omby inahuu!
mambo ya mujini mujini haya mazito sana.siku hizi bwana watu wanaserebuka wanakonga miyooyo yao si tuko karne ya digital kila kitu uwazi uwazi hadharani mchana kweupeeeeee hakuna private.
wacha tusafishe macho yetu kwa kuwaona watoto wa mujini mujini mujini shule,shambani vijijini jembe.
dj ahsante kwa kutuwekea mipicha mi photo photo ya watoto wa mujini wa valentine day.
Post a Comment