Mafundi wa Idara ya Utunzaji wa Baraza Zanzibar wakiweka lami barabara ya muembetanga hadi mtendeni ili kuimarisha barabara hiyo kuiweka katuika kiwango cha lami baada ya lami yake ya zamani kuharibika kwa kuchimbika, Wizara husiku inazifanyika ukarabati wa kuziwekea lami barabara za ndani katika manispa ya Zanzibar kuimarisha miundombinu hiyo kwa Wananchi.
Eneo la mtendeni barabara hiyo ikiwa tayari imeshawakwa lami mpya nas kutowa huduma kwa watumiaji wa barabara hiyo
Eneo la muembetanga njia panda kwenda mapembeani na mtendeni ikiwa tayari imeshawekwa lami mpya na kuiweka hali ya mazingira mazuri ya barabara hiyo. Picha kwa hisani ya Zanzi News
2 comments:
nauliza wametia lami ili iweje?wanatafuta nini why now itiwe lami?wananchi wahali ya chini wanahitaji lami au maisha bora?
mzazi anafurahi mtoto wake akae barazani toka asubuhi mpaka usiku mwisho anakuja kuharibika je lami ndo maaendeleo?
amkeni ukombozi mjikombowe wenyewe.
ccm waje waibe kura na kula tu zaidi ya hapo hakuna kitu.tieni lami hata muwape watu pesa za bure kura hampati labda muibee.
Post a Comment