Advertisements

Saturday, March 7, 2015

AWADH ZUBERI NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC

 Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi pamoja na ujumbe wake pichani wamemtembelea Balozi Liberata Mulamula, Kuanzia kushoto ni  ndugu Paul Mwafongo (Afisa Ubalozi uchumi),Bwn. Joseph Mnzanilla ,Mh.Bbalozi Mulamula,Bwn. Awadh Zuberi,Shemuni Halahala pamoja na ndugu Majid Zuberi wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Urban and Rular  Engineering wa kwanza kulia ndugu Awadh  Zuberi na msaidizi wake Shemuni Halahala wakiwasili  Tanzania house ,Ubalozini wa Tanzania  Washington, D.C.

No comments: