Advertisements

Monday, March 2, 2015

BAADA YA CHELSEA KUTWAA KIKOMBE CHA CAPITAL ONE WATOTO WA TERRY WALIFANYA KOMBE SANDWICH.

John Terry aliweka picha hii kwenye Instagram akionyesha kombe walilonyakua jana limelala katikati ya watoto wake sijuhi alikuwa na maana gani watoto walifanya kombe sandwich mambo ya ushindi hayo.
John  Terry katikati akipongezwa na wenzie baada ya kufunga goli la kwanza katika mchezo huo wa final uliochezwa Wembley na kufanikiwa kuwafunga Tottenham 2 kwa 0 na kunyakua kikombe cha capital one jumapili.

No comments: