Advertisements

Monday, March 2, 2015

MSIBA DMV NA TANZANIA

Ndugu yetu Juma Mkuu wa Maryland nchini Marekani anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Marehemu Mkuu Said kilichotokea leo nyumbani Tanzania

Kama ilivyokua kawaida yetu kupeana pole ndio mila na desturi yetu anuani ya msiba Maryland mtatangaziwa baadae kwa sasa unaweza kumpa pole ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu na kaka yetu Juma Mkuu Said kwa kumpigia simu namba yake ya mkononi  202 270 6407

Tafadhali ukipata nafasi mpigie simu ndugu yetu tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na mpendwa baba yake mzazi.

No comments: