Advertisements

Saturday, March 28, 2015

Bondia Mohamed Matumla Ashinda Pambano la Ngumi Dhidi ya Mchina Wang Xin Hua Jana


Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam na sasa baada ya kushinda atapata nafasi ya kupanda ulingoni Jijini Las Vegas kwenye pamambano la Mayweather na Pacquiao na bondia atakae pangiwa katika mapamabo ya utangulizi siku hiyo ya May 2.


No comments: