Advertisements

Saturday, March 28, 2015

Marudio ya Mishumaa ya Kale ya jana...Ijumaa Mach 27 2015


Hiki ni kipindi cha Ijumaa Machi 27, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia Vijimambo Radio ,ama Kwanza Production ama Border Media Group

No comments: