Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akimkabidhi zawadi mtarishaji wa kipindi maarufu cha Power Breakfast Bw. Phillip Mwihava baada ya kumalizika kwa semina ambayo PSPF iliandaa maalum kwa watendaji kutoka Clouds Media. Lengo la semina hiyo nikuwaelimisha kwanini PSPF inaendelea kuwa chaguo la kwanza kwa waajiriwa wapya hapa nchini. Anayeshuhudia Bi. Neema Muro, Mkurugenziwa Uendeshaji wa PSPF
Afisau huano Mwandamizi wa Clouds Media Bw. Kelly Michael (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa maalum kwa watendaji wa Clouds Media, kuliani Said Mohamed maarufu kama Bonge naye akifatilia kwa makini semina hiyo iliyolenga kuwaelimisha juu ya huduma na bidha mbalimbali za PSPF.
Watendaji wa Mfukowa Pensheni wa PSPF na wageni wao kutoka Clouds Media wakiwa katika picha ya pamoja baada ya semina iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya watendaji wa Clouds Media.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfukowa Pensheni wa PSPF, Bibi Neema Muro (kulia) akifafanua jambo kwa watendaji wa Clouds Media ambao walipata fursa ya kutembea Makao Makuu ya PSPF kwa lengo la kujifunza utendaji kaziwa Mfukohuo.
Mkurugenzi Mkuuwa PSPF BW. Adam Mayingu akipokea zawadi kutoka kwa Bw. Burton Mwemba kutoka Clouds FM, baada ya semina iliyoandaliwa maalum kwa wafanyakazi wa Clouds FM.
Mkurugenzi wa Utendajiwa Mfukowa Pensheni wa PSPF (kushoto) Bibi Neema Muro akitoa maelezokwa wa fanyakazi wa Clouds Media ambao walipata fursa ya kupatiwa semina juu ya ubora wa Mfukowa PSPF.
Wafanyakazi wa Clouds Media Said Mohamed ‘Bonge’ (kulia) na Kelly Michael wapili kushoto wakiwa katika moja nyumba katika jengo jipya la Mfukowa Pensheni wa PSPF lililopo katika barabara ya Sokoine jijini Dar es Salaam, jengo hilo nirefu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima.
Mwanzonimwa wiki hiiwafanyakaziwa Clouds Media Group walipatafursayakutembeleaMakaoMakuuyaMfukowaPensheniwa PSPF kwalengo la kujengewauwezojuuyahudumambalimbalizinazotolewana PSPF.
Ziarahiyoiligawanyikakatikasehemumbili, ya kwanza ilikuwaniseminanayapiliilikuwakutembeleamaeneombalimbaliya PSPF ilikuwezekujioneautendajikaziwaMfukohuoambaokwasasandiochanguo la kwanza kwawaajiriwawapyanchini.
SeminahiyoiliendeshwanaMkurugenziwaUendeshajiwa PSPF, Bibi. Neema Muro ambayealiwaelezakwa kina juuyabidhaanahudumazinazotolewanaMfukowaPensheniwa PSPF.
Bibi. Muro alisemaMfukowa PSPF unamafaoyamudamfupiambayonifao la uzazi, mkopowaelimu, fao la kujitoa, mkopokwamwajiriwampya, mkopowanyumbanamikopokwawastaafuyenyemashartinafuu.
Aliyatajamafaoyamudamrefukuwanifao la uzeeni, fao la ulemavu, fao la mirathinafao la kufukuzwa au kuachishwakazi.
PiaMkurugenzihuyoalielezakwamba PSPF inampangowauchangiajiwahiariambaomwanachama wake nimtuyeyotewenyeumriwamiaka 18 nakuendeleanaanawezakuwakatikasektarasminahatakatikasektaisiyorasmi, kima cha chini cha kuchangianiashilingi 10,000 tukwamwezi. MafaoyanayotolewachiniyampangohuunipamojanaFao la elimu, Fao la ujasiriamali, fao la uzeeni, fao la kifo, fao la ugonjwa au ulemavunafao la kujitoa.
Kwaupandewauwekezaji, Bibi Muro alisemaMfukounavitegauchumivyamudamrefuambavyonipamojanajengo la Golden Jubille Towers lenyeghorofa 21 ambalondioMakaoMakuuya PSPF, Jengo la PSPF Commerial Towers ambalolinaghorofa 35, jengohilinirefukulikoyoteAfrikaMasharikina Kati.
Pia PSPF imewekezakatikaujenziwa Chuo cha Elimu cha Chuo Kikuu cha Dodoma na Chuo cha SayansinaTeknolojia cha Nelson Mandela kilichopoArusha.
Mfukopiaumejenganyumbakwaajiliyakukopeshawanachama wake nawatanzaniawenginekatikamikoayaMorogoro, Dar es Salaam, Shinyanga, Mtwara,TaboranaIringa.
Baadayaseminahiyowagenihaokutoka Clouds Media Group walipatafursayakutembeleamaeneombalimbaliya PSPF kwalengo la kujioneautendajikaziwaMfukohuonapiakutembeleabaadhiyamaeneoyauwekezajiwaMfuko.
Baadayaziarahiyo, kiongoziwatimukutoa Clouds Media, Bw. Kelly Michael alisema, “ ziarahiiimetupatiaelimuyakutoshajuuya PSPF…hakikakunamengitulikuwahatuyajuilakinisasatunawezakumepatauelewawakutoshajuuyaMfukohuu,”
No comments:
Post a Comment