JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA
Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF
Exactly, so what.....nchi haitizamwi kwa majengo bali uchumi na miundombinu. Angalini wenzetu Kenya ni nchi ya 9 kwa utajiri hapa Afrika na hawana mafuta wala mali ghafi kama sisi ila wametuachilia mbali kishenzi. Mnabaki kulilia CCM iwainue, thubutuuuuu! Mtachezewa mpaka kufa, hii nchi kamwe haitoendelea iwapo ikiwa bado inaongozwa na CCM. Never.
Nyote hapo juu mnayo pungufu kimawazo; mnaisifu nchi ya Kenya ambayo ina njaa na haiwezi kuwalisha raia zake? Tunawatumia mahindi na nafaka nyingi kila mwaka. For your info the majority of Kenyans have less to eat on a given day than their Tanzanian counterparts. Labda ninyi mnapima maendeleo yao kwa idadi ya Wazungu wanaozunguka kwenye mbuga za wanyama? That does not help an average Kenyan; Aliyeendelea ni bwana Uhuru Kenyatta alone ambaye amelimbikiza mabilioni mfukoni mwake. Acheni upumbavu wa kujiweka chini; hata Uchina iliendelea pole pole na sasa wanawika Ulimwenguni. By the way fellows, infrastructure development is one step forward, and am proud to see we can afford to erect one of the tallest, and thus I feel sorry for the silly haters above!
Anonymous wa March 20 @ 4:27 AM naona una matatizo au ufinyu Fulani kichwani. Hivi unaelewa maana ya miundombinu au maendeleo ya nchi? Tuseme hujuwi bali unabisha tu ili mradi. Je, mambo ya ujenzi nayo, unayajuwa? Nikuulize kitu na naomba ufikiri kidogo kabla ya kujibu. Hapo yalipojengwa hayo majengo mvua ikinyesha maji yanafurika kishenzi mpaka kupita inakuwa kazi. Sasa kuna faida gani kujenga jingo ama majengo kama haya wakati miundombinu yakinifu haukufanyika? Inakuja kichwani mwako mtu ama wafanyakazi wanatoka ndani kwenda makwao wanapanda maboti, tena mjini kama hapo? Tusipende kusifia ujinga wakati macho na akili tunazo jamani....vipi?
Anonymous wa March 19 @ 8:50 PM mbona unatokwa na povu pasipo sababu? Ni kiingereza gani kilicho andikwa mpaka kikakufanya ushindwe kujielewa? Yaani hata lugha yako unashindwa kuitambua na kuiita English, jamani mbona wabongo fleva mnaboa kihivyo? Jitambue kasha urudi tena. Soma uchumi ndipo utajuwa kuwa maendeleo si magorofa yasikuwa na miundombinu yakinifu. Rudi tu shule then njoo tena hapa.
9 comments:
so what ?

kuwa mstaarabu wewe so what,what do you mean by that?tena kizungu chenyewe cha kuchapia halafu unajifaragua kuku wa kuchora wewe.
unadhani kila leo tukusifuni migorofe yenu ya majuu tu,mtu kwao sifu vya kwenu pia usiwe na roho ya mafisadi magamba kuwa na roho ya ukawa.
Jengo refu bila miundo mbinu ya maji taka hata maji ya mvua ni jambo la kijinga na sio sifa.
Like X 100. Mkuu umepogilia msumari wa mwisho
Nyote hapo juu mnayo pungufu kimawazo; mnaisifu nchi ya Kenya ambayo ina njaa na haiwezi kuwalisha raia zake? Tunawatumia mahindi na nafaka nyingi kila mwaka. For your info the majority of Kenyans have less to eat on a given day than their Tanzanian counterparts. Labda ninyi mnapima maendeleo yao kwa idadi ya Wazungu wanaozunguka kwenye mbuga za wanyama? That does not help an average Kenyan; Aliyeendelea ni bwana Uhuru Kenyatta alone ambaye amelimbikiza mabilioni mfukoni mwake. Acheni upumbavu wa kujiweka chini; hata Uchina iliendelea pole pole na sasa wanawika Ulimwenguni. By the way fellows, infrastructure development is one step forward, and am proud to see we can afford to erect one of the tallest, and thus I feel sorry for the silly haters above!
inahuu!

Post a Comment