Advertisements

Sunday, March 22, 2015

HAPA HUDDAH HAPA ZARI BILA DIAMOND HUKO KENYA KULIKONI

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye pati iliyoandaliwa na Zari na Huddah [Boss Lady wa Uganda na Kenya]. Pati ilifanyika kwenye mgahawa wa Art Of Luxury #Skylux Lounge iliyopo Kenya. Watonyaji wali ng'atana sikio kuhusu mchumba wa Zari kutoka Tanzania mbona akuonekana pembeni na vipi mbona kimbwida cha Zari akionekani hewani kama mkungu wa ndizi au mambo ya Project hadi tumboni?. Jitiririshe na picha za warembo hao hapa chini na ufunge mdomo kimya kimya.
   

No comments: