Advertisements

Saturday, March 28, 2015

HUC AWARDED 22 SCHOLARSHIP FOR 2014/2015


Help for Underserved Communities Inc. (HUC) -USA awarded 22 scholarships to young adults to attend Vocational Education and Training Act (VETA) for 2014/2015. Of the 22 recipients of 2015 HUC Scholarships, 6 are from orphanages; two from Sister of our Lady Queen of Africa Orphanage of Kurasini Convent, two from Albino Charity Organisation in Buhagija, Shinyanga and two from Yatima School in Chamazi, Dar-es-Salaam, Tanzania | Help for Underserved Communities Inc. (HUC) –USA imewapatia ufadhili vijana 22 wa kozi mbalimbali za ufundi katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi(VETA), Tanzania kwa mwaka 2015. Kati ya wanafunzi hao 22, wanafunzi sita wanatoka kwenye vituo vya kulea yatima, ikiwemo wanafunzi wawili kutoka Lady Queen of Africa Orphanage ya Kurasini Convent, Albino Charity Organisation ya Buhagija, Shinyanga na Yatima School ya Chamazi, Dar-es-Salaam, Tanzania.


Mr. Ramadhani Kuchimba, (from Left) one of the organizers of the Scholarship explaining the admission process into Vocational Education and Training Act (VETA) to a captive audience of 2015 sponsorship recipients from Help for Underserved Communities, Inc. (HUC) | Baadhi ya vijana waliopata ufadhili wa kozi mbalimbali za ufundi toka Help for Underserved Communities Inc. (HUC), kwa mwaka 2015 wakisubiri taratibu za ujazaji fomu za kujiunga katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi(VETA), jijini Dar es salaam, hivi karibuni. Kushoto ni mmoja wa waratibu wa ufadhili huo, Mr. Ramadhani Kuchimba.


22 youngsters from different counties were awarded 2015 HUC Scholarships to vocational courses. Here are some of those students filling out forms for admission into VETA | Ujazaji fomu kujiunga na kozi za ufundi VETA 2015. Vijana hawa ni miongoni mwa vijana 22 toka mikoa mbalimbali wanaofadhiliwa na Help for Underserved Communities Inc. (HUC).


Among the 22 recipients of 2015 scholarships from HUC L-R, Tamali Mapuli, Janeth Kawala and Yussuph Chunga fill application forms to attend VETA. | Vijana hao ni miongoni mwa vijana 22 wanaofadhiliwa na Help for Underserved Communities Inc. (HUC) mwaka huu. Kutoka kushoto, Tamali Mapuli, Janeth Kawala na Yussuph Chunga wakijaza fomu za kujiunga na kozi za ufundi Chuo cha Ufundi VETA


Ms. Acheni Simba (in red) assisting one of the scholarship recipients complete her application form for admission into VETA. | Ms Acheni mwenye nyekundu, akiwasaidia baadhi ya vijana walipata ufadhili wa masomo ya ufundi toka Help for Underserved Communities Inc. (HUC), kwa mwaka 2015 katika Chuo cha Ufundi VETA, Dar es Salaam, hivi karibuni


2015 HUC Scholarship recipients completing admission forms for VETA. | Vijana wanaofadhiliwa na HUC wakijaza fomu za kujiunga na kozi mbalimbali za ufundi VETA, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.


Young 2015 HUC Scholarship recipient completing her application for admission into VETA. | Mmoja wa vijana aliyefadhiliwa masomo ya ufundi toka Help for Underserved Communities Inc. (HUC), kwa mwaka 2015 akijaza form ya kuingia VETA.

Last year HUC sponsored 11 students to attend VETA. We are proud that all 11 students were able to continue studies to acquire lifetime transferable skills. Thank you to all HUC’s supporters. | Mwaka jana HUC iliwafadhili wanafunzi11 kusoma VETA. Hongera kwa wanafunzi wote walioweza kumaliza mafunzo yao na kujipatia ujuzi wa maisha. Na asantani kwa wote wanaosaidi HUC kwa hali na mali.

No comments: