ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 21, 2015

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV

Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 

Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni 
Universal Holiness Church 
2426 Elvans Rd. SE,
Washington, DC 20020 

Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na 
 Deo Mosha: 240 441 8433 
Henry Kente: 240 938 2452 
Vitalis Gunda: 240 383 6950 
Mrs. Tumaini K. Katule 301 433 3411 

Tafadhali zingatia muda. Karibuni wote.

No comments: