Tuesday, March 24, 2015

JAJI BUBESHI AKABIDHI RIPOTI YA TUME YAKE KWA MHE. SAMUEL SITTA

 Jaji Bubeshi na timu yake wakifanya maongezi na Mhe. Samuel Sitta ofidini kwake siku ya Jumanne March 24, 2015 kabla ya kumkabidhi ripoti  ya kuchunguza mwenendo uliokuwa unalalamikiwa kuhusu aliyekuwa DG Eng Madeni Kipande katika Mamlaka ya Bandari Tanzania.
 Jaji Bubeshi na timu yake wakiendelea na mazungumzo na Mhe. Samuel Sitta.
 Jaji Bubeshi (kulia) akijiandaa kukabidhi ripoti kwa Mhe. Samuel Sitta.
Jaji Bubeshi akimkabidhi Mhe Samuel John Sitta ripoti ya tume aliyoiunda ya kuchunguza mwenendo uliokuwa unalalamikiwa kuhusu aliyekuwa DG Eng Madeni Kipande katika Mamlaka ya Bandari Tanzania.

No comments: