ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 7, 2015

KIKAO CHA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD BIRMINGHAM, ALABAMA

Kutoka kushoto ni Oswald, Mhagama, DJ Luke, Suzan wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa Suzan na Oswald kwenye kikao chao cha harusi kilichofanyika Jumamosi March 7, 2015 mji wa Birmingham, Alabama. Kikao kilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa Suzan na Oswald harusi itakayofanyika April 11, 2015 hapohapo Birmingham, Alabama.
Bi harusi mtarajiwa akianza kulizoea jiko taratibu kwa kuwapikia wageni waliokuja kwenye kikao mahanjumati
Deus Joseph, mwenyekiti akiendesha kikao cha harusi ya Suzan na Oswald.
 Enock Lubala akipiga simu kwa ndugu na jamaa kuwakumbusha kutimiza anadi zao za michango.
Kutoka kushoto, Oswald, Mhagama, DJ Luke, Dulla na Enock wakiwa katika picha ya pamoja.
Zena akiwa na Keita.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: