ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 7, 2015

MKUTANO WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CALIFORNIA WAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA


Katibu Mwenezi Bi Jane M (Kushoto) akizingitia jambo katika mkutano uliofanyika mjini Oakland - California. Wengine Katibu Bw. Erick B (katikati) na Mweka Hazina Ester N updande wa kulia.
Baadhi ya wanachama wakiwa katika picha ya pamoja punde baada ya kumaliza mkutano.
Viongozi wakipiga picha ya pamoja na baadhi ya wanachama walioka kutoka kushoto Bi Jane M (Katibu Mwenezi), Eligiver B (Mjumbe), Bi Josephine M (Mwenyekiti), Stella B (Mjumbe), Godfrey M (Mjumbe) na mwisho Erick B (Katibu).