Advertisements

Friday, March 6, 2015

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU KUTOKA NCHI TATU, TANZANIA, RWANDA NA SWEDEN

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Eng.Christopher Chiza(katikati)akisoma hotuba iliyoandaliwa katika kongamano hilo (kulia)balozi wa Swideni wa Tanzania Lennarth Hjelmaker(kushoto)Askofu mkuu wa makanisa ya FPCT David Batenzi.
Watoto wenye ulemavu katika picha wakitambulishwa nyuma ni Mc wa kongamano hilo.
Bango lililoandaliwa na watu wenye ulemavu katika kongamano hilo.
Vijana wenye ulemavu kutoka katika nchi zote tatu wakiketi katika jukwaa lililoandaliwa.

No comments: