Advertisements

Saturday, March 7, 2015

KUMBUKUMBU YA CAROLINE

Caroline ni masaa, siku, wiki, miezi na hatimaye leo  mwaka mmoja, toka siku ile tarehe  07/03/2014 saa saba mchana ulipotuacha kwa majonzi ya kutokuamini Kama kweli umeondoka,lakini kwetu ni kama jana tu maana Upendo na Busara zako kwetu bado upo nasi  na utaendelea kuwa nasi milele. kiroho  bado tuko nawe! Caro  siku zote utakumbukwa sana na  mume wako Chris Muhoka, watoto wako Jj, David, Clements, Michelle, na Scott, Mama yako Esnath Mwaiselage, kaka, Dada, Ndugu, jamaa na marafiki zako wote. Warumi 14:7-9

No comments: