LISSU AWAZUIA WABUNGE WA CHADEMA KUHUDHURIA UZINDUZI WA ACT-WAZALENDO
Lissu awazuia wabunge wa chadema kuhudhuria uzinduzi wa act-wazalendo.
Lissu awazuia wabunge wa Chadema kuhudhuria Uzinduzi wa Chama cha ACT-WAZALENDO. Amesema atakaye hudhuria ni msaliti ndani ya Chadema na hatua kali zitachukuliwa dhidi ya mbunge huyo
3 comments:
Anonymous
said...
Nina wasi wasi na uwezo wa kufikiri wa Lissu, hiki ndicho chama cha kidemokrasia, kina hofu gani wa wanachama au wabunge wake kuhudhuria hiyo sherehe? ACT ni kama chama chochote kile cha upinzani......Africa siku zote tutaishi kwa chuki kama tukipata viongozi kama Lissu na madikteta kama Mbowe, Mrema, Lipumba, Makaidi, Cheyo na wengineo. Wanafanya vyama kuwa mali yao binafsi wakiona wanapingwa kuvunja katiba waliyoweka wao wanaanza kutafuta mchawi na kuweka visa......Tuna miungu watu ambao elimu zao na uwezo wao wa kufikiri unatia mashaka.
anonymous umemsahau na dikteta mwengine wa kitanzania Maalim Seif Sharrif Hamad. Viongozi wa kiafrika walioko madarakani mashaka matupu na wapinzani wanaogombea madaraka nao ni shiiiida. Naona waafrika au waTanzania in particular we have a long way to go, God bless our country.

siasa za majitaka hizi...

Post a Comment