Advertisements

Sunday, March 22, 2015

Marudio ya kipindi cha Mishumaa ya Kale Ijumaa hii........sikiliza hapa


Hiki ni kipindi cha Ijumaa Machi 20, 2015
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST)

No comments: