Advertisements

Sunday, March 22, 2015

YANGAYA KIMATAIFA BAADA YA MICHEZO YA LEO HII NDIYO HABARI MUJINI

Mtokea ya michezo ya leo ya ligi ya VPL na Kimataifa kwa timu ya wanawake Twiga Stars aka vitaulo.
Timu ya simba imefikisha point 32 baada ya kushinda mechi yake ya Leo.
Simba imeshinda goli 3-0 dhid ya Ruvu shooting...
Magoli ya Simba yamefungwa na. Ibrahim Ajib dk ya 60 kwa penati, Hawadh
Juma, dk ya 61 na goli la 3 na elias Maguli dk ya 75.

COASTAL UNION YAPIGWA NA AZAM
Timu ya Azam imeshinda 1_0 dhidi ya coastal union katika Uwanja wa
Mkwakwani,Tanga.
Goli la Azam FC lilifungwa na John boko Adebayor katika kipindi cha
kwanza dk ya 32
Katika soka la wanawake Twiga stars imeshinda huko zambia kwa kumpiga
chipolopolo(Zambia) kwa goli 4-2....
Magoli ya Twiga stars yamefungwa na Asha rashid dk ya 44, Shenida
Boniface dk ya 51,na sophia Mafikiri dk ya 75
MABINGWA mara ya 24 wa ligi kuu soka Tanzania bara, Dar Young Africans wamevunja mwiko wa Mgambo JKT kutofungwa na vigogo Simba, Yanga kwa misimu mitatu katika uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga baada ya kuifumua mabao 2-0 katika mechi ya ligi kuu uliechezwa jana.
Mabao ya Yanga yamefungwa kipindi cha pili na winga mwenye kasi Saimon Msuva na mtaalamu wa magoli ya kichwa na mfungaji bora msimu uliopita, Amissi Tambwe.

Bao la leo ni la 9 kwa Msuva na la 5 kwa Tambwe.

Msimu uliopita, Yanga walipoteza dira ya kutwaa ubingwa kufuatia kuchapwa 2-1 na Mgambo katika uwanja huu wa Mkwakwani, lakini leo wamelipa kisasi.

Mgambo waliwafunga Simba 2-0 jumatano ya wiki hii, lakini leo mambo yamewageukia kwa kula kichapo kama hicho hapa chini chungulia top 3 na utakubari kuwa Yanga ndiyo habari ya mujini kiroho safi.

No comments: