ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 22, 2015

NYUMBA YA UNGUA MOTO NA KUUA WATOTO 7 WA FAMILIA MOJA BROOKLYN. NY



Chombo hiki ndiyo kilichosababisha nyumba kuungua moto na kuua watoto 7 Brooklyn New York watoto wa kike wa 3 na wakiume wa 4 wote ni wa familia moja wakiwa wame lala usiku na chombo hiki kukiacha kikiwa na moto baada ya kusahau kukizima. Chombo hiki utumiwa na Wajewish wakati wa kipindi cha Sabbath yani kama kwarezma kwa wakristo.
Moto ulikuwa mkubwa na uliteketeza vitu vyote vya ndani na kwenye nyumba yenye paa 3na kuua watoto hao, Mama wa watoto alikimbia kupitia dirishani na mtoto mdogo na kuwaacha watoto wengine 7 ndani bila msaada. Baba wa watoto alikuwa yupo mbali na nyumbani watoto waliopoteza maisha ni kuanzia umri wa miaka tano hadi 16.
Moto kama huu ulichawahi kutokea miaka saba iliyo pita na uliua watoto 8 na mtu mzima mmoja aliekuwa na umri wa miaka 100 huko Bronx New York.
Majirani wa eneo hilo la Midwood Brooklyn New York wakishuhudua moto huo ulioua watoto 7 wa familia moja ya Kijewish.
 Ingia hapa ujitiririshe zaidi kama kikrosto kinapanda.

No comments: