Advertisements

Tuesday, March 3, 2015

MKE WA NOORAH AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao

Mke wa msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master.

Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga.

Mungu ampumzishe kwa amani.

(HABARI: ANDREW CARLOS/GPL)

1 comment:

Anonymous said...

pole sana noorah na wafiwa wote .