Advertisements

Friday, March 6, 2015

Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar

Mwandishi mkongwe wa habari Zanzibar, Ali Saleh (Alberto) akiwa na wapambe wake waliomshindikiza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mji Mkongwe katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 
Mwandishi mkongwe wa habari, Ally Saleh akionesha Fomu yake aliyokabidhiwa leo kwenye Ofisi ya Jimbo Mkunazini
Akionesha kadi yake ya uanachama wa CUF
Hapa akiondoka Afisi za Jimbo baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mkunazini katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu kama atapitishwa na chama chake. Picha kwa hisani kwa hisani ya Zanzi News

No comments: