Advertisements

Sunday, March 29, 2015

NYATU NYATU MENGI NA MKE WAKE KY_LYNN WAMEFUNGA HARUSI KWENYE KISIWA HIKI

Hiki ni kisiwa cha Mauritius moja ya visiwa vinavyovutia dunia ndipo chaguo la Bwana Mengi kwa ajili ya harusi yake na Beautiful Onyenyi wake Ky_Lynn pamoja na watoto wao mapacha wawili. Wapo watu walipata nafasi ya kuhudhuria harusi hii ukiachia watoto aliozaa na bi mkubwa ndiyo hawakuweza kupa mwaliko wa kuwepo kwenye harusi hii, hizo ni nyatu nyatu za mjini inasemekana harusi hiyo imefanyika jumamosi ya tarehe 28 ndani ya viunga ya kisiwa hiki huko Mauritius.

2 comments:

Anonymous said...

Mmependeza sana

Anonymous said...

wow! happy family