Advertisements

Sunday, March 1, 2015

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji 
familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya 
CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa 
marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifariji
familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya 
CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa 
marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwetewakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa 
Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia 
jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo 
March 1, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwetewakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha 
kiongozi wao, Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu 
ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa 
marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete 
wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha 
kiongozi wao, Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu 
ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa
marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015

PICHA NA IKULU

No comments: