Advertisements

Monday, March 2, 2015

RED BRIGADE WALA KIAPO CHA UTII MBELE YA MH FREEMAN MBOWE

Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mbowe (kulia)
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza.
Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao.

7 comments:

Anonymous said...

Hapa ndipo vyama vina loose credibility.

Anonymous said...

Kweli kabisa!!! Watu wenye akili watubali kungozwa kweli na selekali ya Chadema?

sisiemu aiweze kazi -- lakini Chadema sio solution.

Anonymous said...

Huu ndiyo mwanzo wa utawala wa ki-imla.

Anonymous said...

CREDIBILITY YA NINI TENA? KITU KIMOJA AMBACHO SIKIPENDI KUTOKA KWA WANATANZANIA WA DIASPORA NI HIZI DHARAU ZA KUJIFANYA KUWA TUNAWEZA KUSUMARIZE MATATIZO YETU YA NCHINI KATIKA SENTENSI MOJA.

Anonymous said...

SASA MIWANI,GLOVES ,KOFIA, NI SUMMER OR WINTER...
WAFUASI WA CHAMA CHOCHOTE KWANZA TUNAHITAJI KUONA HUDUMA ZENU KWA JAMII MUWE INDIVIDUALS OR GROUPS SIO LAZIMA KUWA KATIKA OFFICE KUTOA HUDUMA KWA JAMII YAKO.. HOW CAN WE DEVELOP TRUST ...WHILE ALL WE SEE NI USONGO,NOISE,UBABE WA KUKOMOANA...LEADERSHIP STARTS WITH SERVICE..GET A BOOK,GET A CLUE, ....!

Anonymous said...

Duuuuuh Wanatisha!!! Hivi bongo ni wINTER>??? How can a winter gloves and hat protect you? I thought wangevaa Helmet lol! Akili ni nywele wajameni

Anonymous said...

Credibility is gained from trust, trust comes from your ability to sustain necessary service in your community. That is how we know you will do us a service and we can trust that you will do a better job or just do the job. Diaspora kuna Wanachama wa Chadema na ni nini mnachokifanya kwa jamii au followers wenu. What are feeding your families in what way do you meet their needs develop true leaders and not followers. Iit is not in creating followers that we win is in developing leaders who can go back to their respective conners and make a difference. You should realize huu ndio uwanja wa kuonyesha credibility.Party all night,drinking,creating distraction does not fix problems nor does it develop the minds of the people you are trying to lead. Unless you are looking to create a dogmatic society where Yes Sir is the order of the day.... WHICH SEEMS AS WHAT IS SEEN ON THE IMAGE ABOVE