Advertisements

Monday, March 2, 2015

SHUKURANI SANA KWA WOTE WALIONITAKIA KHERI YA SIKU YA KUZALIWA

Dj Luke Joe

Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa timu nzima ya Vijimambo na wale wote waliotumia muda wao kuniandikia maneno ya kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa, kwenye Vijimambo, facebook na wale wote walionitumia ujumbe mfupi kwenye SMS, Whatsup na kupiga simu. bila kuwasahau familia yangu.

Nimeguswa sana na upendo wenu napenda kuchua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kwa yote maneno mazuri yaliyoonyesha upendo wenu juu yangu nashukuru sana na mwenyezi Mungu awazidishie Asnte.

2 comments:

Anonymous said...

hongera sanasana nakupendaga sana mpwa

Anonymous said...

una miaka mingapi hivi sasa big boy?