Mishumaa ya Kale ni kipindi ambacho kinakuletea muziki wa zamani na maelezo mbalimbali ju ya Muziki huo.
Ungana na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja kamili kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST) kupitia kwa kubofya HAPA, HAPA ama HAPA
Kama una TuneIn app, ingia http://tun.in/sfdl0
Kwa mlio Marekani na Canada, tusikilize kwa kupiga simu 716 748 0086
Kama una TuneIn app, ingia http://tun.in/sfdl0
Kwa mlio Marekani na Canada, tusikilize kwa kupiga simu 716 748 0086
No comments:
Post a Comment