Advertisements

Tuesday, March 24, 2015

Siwezi Kumjibu Mtu Anayesema Sema Ovyo Kuwa Nakusanya watu Wanishawishi Kugombea Urais

Lowassa
Akiongea mbele ya wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono! Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau!
Katika magazeti ya leo yalimnukuu Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba urais!

10 comments:

Anonymous said...

KAMA UKIWEZA KUJIVUA MADAKA UKIWA WAZIRI BILA KUFIGHT NA KUTETEA UTENDAJI WAKO WA KAZI JE HUKO KWENYE URAIS UTAMUDU VIBOMO VYA WAPINZANI KWELI AU UTAACHIA KATIKATI?. SASAHIVI WAPINZANI WAKO KIMYA SUBIRI MOTO WAKE UKIKALIA HICHO KITI UNACHOJIPIGIA DEBE KILA KUKICHA. KILA LA KHELI MAANA HADI SASA TAYARI KICHWA KINA NYWELE NYEUPE SIJUHI ZITA KUJA ZA RANGI GANI PALE WAPINZANI NA WANANCHI WATAKAPO ANZA KUKUSHUSHIA HOJA NA VILIO VYA MATATIZO NA SHUTUMA KUTOKA KWA WAPINZANI. USIJE KUISHIA WODINI NA MATIBABU YASIYOISHA SIJUI INDIA AU TMJ LABDA LUGALO NA SIYO RUSSIA.

Anonymous said...

Jamani sasa na nyie wazee si muwaachie na vijana wajaribu. Kuna vijana wengi na wana sifa zote kama Januari Makaba, Ridhiwa kikwete, na kadhalika.

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu RIDHIWAN KIKWETE!!!!mbavu zangu mie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Anonymous said...

Hata mie mbavu zangu,RIDHIWA KIKWETE?J makamba?nk watakapokuwa rais nitatafuta uraia wa nchi nyingine,hahahahhahhaha

Anonymous said...

Hao vijana wenyewe hawafai jaribu kuangalia record ya utendaji kazi wa MTU na uzoefu katika nyazifa mbali mbali sio kufagilia kwa sababu ya kupapatikia urais sio jambo LA kuchezea

Anonymous said...

Naona Lowassa ashaamua mapadri na mashehe ndie watakaompa uraisi

Anonymous said...

Lowasa,si mbaya kihivyo kama mbavyomzungumzia. Anafaa kuwa Rais wa Tanzania.ukimwangalia tu utajua msimamo wake. Ni mchapa kazi na hasa kwa wale walio bahatika kufanya naye kazi. Hana tofauti na marehemu Sokoine. Anayo mapungufu yake kama sisi wote,lakini anafaa saaaaaana kuiongoza nchi. Na kwa taharifa yako ana mzidi kwa upeo mkubwa saana Rais wa sasa. Kama ni pesa,kaka au dada huyu mtu anazo,hata mwalimu aliwahi kuuliza ni kihasi gani cha mshahara anachopata mpaka akaweza kujenga nyumba ya ...... anajua mwenyewe. Alivyokuwa waziri wakati mwingine alikuwa anaendesha gari lake mwenyewe kama waziri. Kwa wale wanao mkumbuka. Alikuwa anatumia RV4.Aliwahi kumyima ndugu yake kazi

kwasababu hakuwa na sifa za uongozi(utawala)
Hivyo hana yale ya eti Ridhiwani ni mtoto wa .... au February ni mtoto wa.... hawa vijana shida yao ni kwenda white house that's all. Hawana lolote. Amen.

Unknown said...

kweli hili li nchi ni kichwa cha mwemdawazimu kuna mdau hapo kasema eti Ridhiwani Kikwete!!! si wananchi wote milioni 45 wataonekana wajinga..basi na mm nafaa kua rahisi ni kijana na mchapakazi sana..

Anonymous said...

Watanzania hivi mnaota usiku mnapomtaja Ridhiwani na February @Makamba kuwa wagombea Urais. Niko America tayari ikitokea hao watoto wa...... Wamekamata nchi ni heri niombe kaburi America. Mtoto wa snake ni snake!! Yenu macho.

Anonymous said...

Unamfanyia kampeni huyu taahira. Kuendesha gari lake maana yake nini?