Friday, March 13, 2015

Wimbo mpya wa Ommy Dimpoz - Wanjera

3 comments:

Anonymous said...

nyimbo nzuri,sauti ya dimpo nzuri na nyuzi nzuri but walivyo act utoto utoto hapo ndo imeharibika kabisa utadhani unaona movie ya vikatuni bwana.

wangeiwacha na ku act vizuri iketoka bomba.

Anonymous said...

mimi nimependa maana watafaidi na watoto ndo maana hata mamtoni wanaweza imba nyimbo wakaweka vikatuni tu kuvutia rika zote.project ya wema na dimpoz

Anonymous said...

It's very good video and very unique....Big Up Dimpoz