Watoto mapacha wa Emmannuel Mayanja Hummertone aka AK47 wamebatizwa.
Maggie Kiwesi na AK47 Emmanuel Mayanja walikuwa na watoto watatu wakiwemo mapacha wawili wameletwa kutoka nje ya nchi na kuletwa Uganda kwa ajili ya kubatizwa, Inasikitisha marehemu AK47 hakuwepo kushuhudia tukio hili kubwa kwa watoto wake.
Watoto hao wamebatizwa siku “Kaka yake na AK47 Pallaso alipost picha kwenye ukurasa wa instagram picha yake na watoto hao na akaandika chini yake “Guess who got baptized today in the name of God ?? The twins !! ###MyBabies” Tafsiri kwa kiswahili “Kisia nani wamebatizwa leo katika jina la Mungu? Mapacha!! ###Watotowangu”
AK47 alifariki Machi 16 2015 katika hospitali ya Nsyambya nchini Uganda baada ya kuanguka
Watoto mapacha wa Emmannuel Mayanja Hummertone aka AK47 wamepatizwa.
Maggie Kiwesi na AK47 Emmanuel Mayanja walikuwa na watoto watatu wakiwemo mapacha wawili wameletwa kutoka nje ya nchi na kuletwa Uganda kwa ajili ya kubatizwa, Inasikitisha marehemu AK47 hakuwepo kushuhudia tukio hili kubwa kwa watoto wake.
Watoto hao wamebatizwa siku
“Kaka yake na AK47 Pallaso alipost picha kwenye ukurasa wa instagram picha yake na watoto hao na akaandika chini yake “Guess who got baptized today in the name of God ?? The twins !! ###MyBabies” Tafsiri kwa kiswahili “Kisia nani wamebatizwa leo katika jina la Mungu? Mapacha!! ###Watotowangu”
Ripoti iliyotolewa kabla ya kifo cha AK47, alikuwa bar inayoitwa Dejavu iliyopo Kampala Ggaba barabara ya Kansanga na alionekana amekaa na washkaji wameizuka meza wakinywa wakiwa na marafiki akiwemo Diamond Oscar, Pallaso ambae ni kaka yake, Jeff Kiwa na Dj Bobby na Allan Kiwa.
Walikuwa wakinywa na kuvuta some stuff you what pop in around bars meeeeen!!
Ripoti ilieleza zaidi kwamba kati ya saa 3:00 usiku AK47 aliondoka kwenye kiti chake kwenda kujisaidia, likuwa tayari ameshaagiza chakula kabla hajakwenda kujisaidia.
Baadae akakutwa ameanguka amelala chini hawezi kufanya kitu , alikutwa na mfanya usafi wa chooni aliyeitwa Milton Mumbere.
Inaripotiwa Mumbere akamjulisha mlinzi Thomas Mwima (The Bouncer) na Stephen Kisenyi ambae ni meneja wa Bar hiyo.
Rest In Peace AK47…You will always live in our hearts and will never forgotten!!
No comments:
Post a Comment