Kuna watu ambao wanavipaji vya hali ya juu katika uigizaji lakini umekuwa ukijiuliza utaonyesha vipi kipaji chako ikiwa ni pamoja na kupata kipato chako kitakachoweza kukufanya uishi na kufanya mambo yako kwa hali nzuri.
Utapata nafasi ya kujulikna na mastaa wengine ambao wao tayari wameshafanikiwa, utaonekana kupitia TV Show hii.
Lakini bado upo kwenye Dilema lakiji huu ndio mchongo wa kuchangamkia kwa sasa!! Swali ni moja tu.....
Wewe ni binti mrembo na unajitambua? Basi tunakuhitaji uwe kwenye filamu mpya ya TV, piga simu namba 0655 - 794 949 au 0754 062 893 email info@setup.com na Mwisho wa maombi ni tarehe 02 Mei 2015.
No comments:
Post a Comment