Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.

Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.

Polisi wa Kenya wakikaribia majengo ya chuo cha Garissa kwa uangalifu mkubwa

Wananchi wa Garissa wakisubiri kuchangia damu katika hospitali ya Garissa ambako wengi waliojeruhiwa wamelazwa

Kifaru cha jeshi la Kenya katika barabara kuelekea chuo cha Garissa

Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.

Wanafunzi wakikusanyika nje ya chuo kikuu cha Garissa kufuatia shambulio la watu wenye silaha., April 2, 2015.

Wanafunzi wakitafuta usalama katika chuo kikuu cha Garissa

Wanafunzi wakitafuta usalama katika chuo kikuu cha Garissa

Wanafunzi bila ya sharti wakitoka kwenye bweni la chuo kikuu cha Garissa

Kenya University Attack

Students of Garissa University College take shelter in a vehicle after fleeing from an attack by gunmen in Garissa, April 2, 2015.

Maafisa wa polisi wa Kenya wachukua hifadhi nje ya chuo kikuu cha Garissa, April 2, 2015.
No comments:
Post a Comment