ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 29, 2015

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA HUKO BALTIMORE KUTOKANA NA MTITI WA FURUGU ZA RAIA NA POLISI


Uwanja wa Baltimore Orioles ulikuwa mweupe bila watu kutokana na ghasia za raia na polisi watu wote wameogopa kutoka nje na kwenda kushuhudia mchezo kati ya timu ya Baltimore Orioles na Chicago White Sox. Machafuko hayo yaliyosababishwa na tukio la kifo cha kijana mmoja aliekufa mikono mwa polisi hapo ndipo mtiti ulianza baada ya vijana hadi wazee kuingia mtaani na kuanza kuandamana sambamba na uharibifu wa mali za watu na magari kuchomwa moto.

1 comment:

Anonymous said...

Sio juu ya watu kuogopa tuu, bali ilitangazwa game itaendelea kwa hali hio (bila watu kuruhusiwa kuhudhuria) for security measures.