Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Jumbe Mangu akitoa heshma za mwisho kwa miili ya askari wawili waliouawa na watu wasiojulikana huko vikindu wilaya ya mkuranga, mkoani Pwani hivi karibuni. Shughuli za kuiaga miili hiyo zilifanyika leo Jumatano Aprili 1, 2015 katika viwanja vya hospitali polisi barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam . Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. Askari hao waliuawa kinyama wakiwa kazini kwenye kizuizi cha polisi huko Vikindu kati ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. ambapo wauaji hao pia waliondoka na silaha zao
Askari aliyeuawa
Askari aliyeuawa
Picha kwa hisani ya K-VIS Blog
No comments:
Post a Comment