Advertisements

Sunday, April 26, 2015

Mahojiano na mbunifu mavazi Linda Bezuidenhout (LB) Pt II

Karibu katika sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout
 Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
KARIBU

5 comments:

Anonymous said...

I hope utamuliza na matusi yote aliokua anamtukana Rais ,mkewe , na mama simba wa UWT na wasichana wote wadogo anao tukanananao every time kwenye mitandao kama usipo muliza hayo maswali hauna kitu cha maana ulicho kifanya DJ usibanie comment yangu sijatukana mtu .

Anonymous said...

Mosi,nataka kukupongeza saaana Ms. Linda kwa mafanikio yake. It's amazing!!!
Pili,natoa ushauri kwa wajasiriamali wetu watz. Kama ulivyosema kuhusu watz kukuunga mkono na biashara kuwa ni watu wasiofanya hivyo. It's about time,kutumia lugha ya kibiashara zaidi kuliko kusema haujali waje kwako. Tujifunze kutangaza biashara bila kibri,kwa kuomba kuwa tubadilike na kuanza kuinuana sisi wenyewe kwa maendeleo yetu na ya vizazi vijavyo ili tukiwa wengi wetu tutaweza kuinua hali ya kuleee nyumbani.
Tatu, Nawaasa watz wenzangu,huu ni wakati muafaka kuacha husda na kuanza kusaidiana kuondokana na mawazo mgando na kupeana misaada ya hali na mali ,kujikwamua na uduni wa maisha ya kila siku kwa kupeana mawazo ya kuboresha viwango vya elimu na kazi hapa USA.
Mwisho, Watz tupendane katika hali zote,ukiwa na mafanikio na matatizo,aliyepatwa na matatizo,mshike mkono muelekeze wapi pa kujikwamua kuliko kukaa pembeni na kuanza kufurahia . Na aliye pata mafanikio,tumuulize nasi tufanyaje tufike aliko yeye,bila ya pande zote mbili kuwa na unafiki.
Kwa leo inatosha,naomba Watz tuzidishe MSHIKAMANO !!!!!bila kuwa na choyo na wivu usio wa maendeleo

Anonymous said...

Talking about a smart humble lady this is one. Thumbs up Linda!!!

Anonymous said...

Wewe wa hapo juu 1) Rais sijamtukana zaidi ya kuongea ukweli kuhusu utawala wake sana sana vile anavoachia police wauwe innocent people na yeye Kama amiri jeshi Mkuu anakaa kimya and a lot more going on in Tanzania...Kama kina ULIMBOKA na David mwandishi wa habari aliyeuwawa na police .... So kama hayo ni matusi RUDI SHULE.

2) Salma kikwete sijamtukana nilieze ukweli kuhusu mkopo mkubwa alipewa wa mamillion then wakaweka picture za viji mikasi na incubator wakati vile vitu garama yake haikufika hata elfu $5000. So na hayo Kama yalikuwa matusi RUDI SHULE.

Sophia Simba nilimpasha baada ya kugundua Kumbe yeye ndo mkubwa wa wanawake kina mama ( what's so ever her position is) but yeye ndo angeokowa wanawake wasidharirishwe mahospitalini na kufedheheshwa kuzaa chini na kufa hovyo wakiwa wanajifungua and so on...... Kama hayo ni matusi RUDI SHULE

Kuhusu watoto wadogo naowapasha niwajibu wangu kuwapasha sababu miming mtu mzima don't you think that's our duty?????. Yes niliwachamba sababu they deserved to get the taste of their own medicine. NA WALA SIO WATOTO NI WAZEE LABDA NIMEWAZIDI LIKE 4 yrs only.

So I hope nime kujibu maswali yako ambayo hawa kuniuliza
Regards
Mimi ni LB

Anonymous said...

Nawashukuru wote kwa comments zenu!

Mdau wa kwanza, jibu langu ni siku muuliza hayo matusi, kwanza siyajui. Pili am not a drama queen. Tatu haikuwa nia yangu kujua Linda kagombana na nani nia yangu ni kumuonyesha upendo wetu kwake na kumpongeza kwa kazi zake nzuri.

My time is very precious to waste on unnecessary things!!

I hope nimekujibu swali lako. Asante.


ALPHA IGOGO