Ramadhani Singano akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. (Pichana Francis Dande)
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira mbele ya beki wa Ndanda FC.
Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Kipa wa Ndanda FC akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.
No comments:
Post a Comment