ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 26, 2015

MTANANGE WA ZANZIBAR HEROES NA TANZANIA BARA KATIKA PICHA

Moja ya magoli ya Zanzibar Heroes yakimuacha kipa Mussa Linga wa Tanzania Bara asijue la kufanya
Wachezaji wa pande zote mbili wakichuana vikali
Mpambano ukiendelea
Mechi ni kali

2 comments:

Anonymous said...

urojo wa walewesha watanganyika

Anonymous said...

Kocha wa Tanganyika anapaswa kujieleza na ajiuzuru haraka sana.

Hii ni aibu bandugu.