Advertisements

Sunday, April 26, 2015

Pt II ya mahojiano na Linda Bezuidenhout kesho....USIKOSE

 Kesho Jumatatu tutakuletea sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na mwanamitindo mbunifu Linda Bezuidenhout (LB) kutoka Atlanta, Georgia.
Ameeleza mengi kuhusu kazi yake na familia kwa ujumla.
Anavyokabiliana na kazi zake, changamoto za afanyalo, tuzo alizopata nk
Na pia, kaeleza kuhusu mtazamo wake juu ya waTanzania (hasa wa Diaspora) na ushauri kwa kinamama wote
 USIKOSE mahojiano yaliyofanywa na mwakilishi wa Vijimambo na Kwanza production Michigan Alpha Igogo ambae alitaka kujua undani wa maisha ya mwanadada Linda

 

No comments: