Kutoka kushoto ni NY Ebra, Dj Rich Maka na Dj Peter Moe wakipata picha ya pamoja nyumbani kwa Ny Ebra kama walivyokutwa na pita pita ya Vijimambo mjini Brooklyn, New siku ya Jumapili April 26, 2015.
Kutoka kushoto ni Dj Peter Moe, Dj Luke Joe na Dj Venture kama walivyokutwa na kamera ya pita pita ya Vijimambo mjini Brooklyn, New York wakiwa kama marafiki wa siku nyingi ambapo Dj Luke Joe aishawahi piga muziki wa disco na Dj Peter Moe miaka ya nyuma Mambo Club ambayo sasa ni Maisha Club pia Dj huyo wa siku nyingi alishawahi piga muziki wa disco na Dj Venture FM Club.
Kutoka kushoto ni NY Ebra, Dj Venture, Dj Rich Maka na Dj Peter Moe wakikatiza mitaa ya Brooklyn, New York
Dj Peter Moe, NY Ebra na Dj Rich Maka wakiwa ndani ya mgahawa Brooklyn, wakishibisha tumbo.
Dj Venture na Dj Luke Joe wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya mgahawa Brooklyn, New York.
No comments:
Post a Comment