ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 20, 2015

TASWIRA NYUMBANI KWA VICKY MT VERNON WAKATI YA MISA YA KUMUOMBEA KAKA YAKE ALIEFARIKI HUKO TANZANIA MWEZI ULIOPITA

 Mchungaji akiongoza misa ya kumuombea marehemu kaka yake na Vicky, aliefariki huko Tanzania mwezi uliopita. Hii ni kawaida ya Watanzania ukutana nyumbani kwa mfiwa kwa maomba na kutoa pole. Misa hii ilifanya nyumbani kwa Vicky huko Mt Vernon New York siku ya jumapili jioni. 
 Ndugu na marafiki wakiwa wamesimama wakati mchungaji akiongoza misa.
Dada yake Vicky  kutoka DC akitoa shukrani mbele ya watu waliojitokeza kwenye misa hiyo kwa picha zaidi jitiririshe chini.
 

PICHA KWA HISANI YA TEMBAPHOTO.COM, NA UNAWEZA KUTEMBELEA HUKO KWA TASWIRA YA PICHA ZENYE UBORA.http://tembaphoto.com/

1 comment:

Anonymous said...

Mbona wengine hatupewi taharifa au kuna special Tanzanian wanao ishi New York ni swali tu Bwana,