ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 29, 2015

UKIWA NDANI YA JIJI LUOYANG NCHINI CHINA UWEZI KUKIKWEPA KITOWEO HIKI



Hapa jamaa akiwafungua Mbwa kamba baada ya kuwanyonga tayari kwa kitoweo

Hapa Mbwa wamesha katwa shingo wakisubiri kuchunwa ngozi
Wamechunwa na kuwekwa kwenye mifuko tayari kwa kusambaza kwenye mahotel na migahawa, ukiwa ndani china usichunguze nyama unayo kula maana usije kujuta kuingia ndani ya nchi ya China kwaiyo wewe songa tu na maisha kiroho safi.

1 comment:

Anonymous said...

Nini cha ajabu? Nilisoma Mkwawa high school kule Iringa in the 70s, nilishuhudia ndugu zetu Wahehe wakikaanga nyama kama hiyo!! Kamwene mulogage?